Sunday, October 27, 2013

Flash Modem yako kirahisi

Flash Modem Kirahisi

Kutumia modem inayoingia line zote si kama hutaki kutumia mtandao ulionunulia hiyo modem, bali ni kuwa na uhuru wa kuchagua ukitakacho. Huenda ikatokea dharura ambapo mtandao uliotiwa katika modem yako unamatatizo, na hauna modem nyengine itakulazimu usimamishe kazi yako, na kwa kujua hili tunakuletea jinsi ya kufungua modem yoyote.